Utafiti TWAWEZA wambeba Magufuli uchaguzi 2015

Dkt John Magufuli, Mgombea urais kupitia CCM

Utafiti uliofanywa na taasisi ya utafiti ya TWAWEZA umeonesha kuwa endapo uchaguzi ungefanyika mwezi mmoja uliopita, mgombea urais wa CCM John Magufuli angepata ushindi kwa asilimia 65.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS