Kiwanda cha General Tyre chazungumziwa Bungeni
Serikali imesema ipo mbioni kufufua kiwanda cha General Tyres ambacho kilisitisha shughuli zake za uzalishaji kwa muda mrefu baada ya kumlipa mwekezaji asilimia 26% alizokuwa anaidai serikali na sasa kiwanda ni cha serikali.

