TSA kukutana kesho kikao cha dharura Zanzibar Kamati ya utendaji ya Chama cha Kuogelea nchini TSA kinatarajia kukutana hapo kesho visiwani Zanzibar katika kikao chake cha dharura kwa ajili ya kujadili juu ya katiba ya chama hicho. Read more about TSA kukutana kesho kikao cha dharura Zanzibar