DAREVA kukuza wavu kwa kutumia kozi za makocha.
Chama cha mpira wavu mkoa wa Dar es salaam DAREVA kimesema, kinaamini maazimio waliyojiwekea ya kukuza mchezo huo kwa mkoa wa Dar es salaam yatafanikiwa kutokana na kozi kwa makocha kuendelea kuonesha mafanikio.

