Uamuzi wa ICC leo kutoa mwelekeo wa kesi ya Ruto
Kesi inayomkabili Naibu Rais wa Kenya William Ruto katika Mahakama ya Kimataifa ya jinai (ICC) inatarajiwa kuchukua mwelekeo mpya leo, wakati kitengo cha rufaa kitakapotoa uamuzi juu ya taarifa za mashahidi watano waliojiondoa kama zitaendelea au la

