Nyumba Zanzibar zipo hatarini kumezwa na bahari
Nyumba za wananchi za Kilimani Zanzibari zipo hatarini kudidimia na kuchukuliwa na bahari kutokana na mabadililo ya tabia nchi huku serikali ya muungano ikiahidi kuchukua hatua za makusudi za kuzinusuru na uharibifu huo.
