TFDA yafunga kiwanda kwa kuzalisha mafuta ya sumu
Mamlaka ya chakula na dawa (TFDA) imekifungia kwa muda usiojulikana kiwanda cha kukamua mafuta yanayotokana na mbegu za pamba cha Yobama Shirecu kilichopo kata ya Lugulu wilayani Itilima kutokana na kutumia malighafi zenye sumu.
