Waganda kuchezesha Kenya na Stars bila Ulimwengu.

Kocha Mkwasa akiwa na makocha wenzake na baadhi ya wachezaji wa Stars jijini Nairobi.

Waamuzi watatu wa soka kutoka Uganda, ndio wakaochezesha mchezo wa kirafiki wa kimataifa unaotambuliwa na FIFA kati ya Taifa Stars ya Tanzania na Harambee Stars ya Kenya utakaofanyika Uwanja wa Moi Kasarani jijini Nairobi, Kenya siku ya jumapili hii.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS