Zidane ampa dole Ronaldo kukipiga fainali hii leo.

Kocha Zinedine Zidane akiteta jambo na Ronaldo katika moja ya michezo ya timu yao.

Pamoja na kuonekana kuwa na maumivu ya mara kwa mara hasa katika hatua za mwisho za michuano ya klabu bingwa Ulaya na ligi, kocha Zinedine Zidane amemwangalia Ronaldo na kusema yuko tayari kuipigania Real Madrid

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS