Rekodi ya Serengeti India yawapagawisha Wakenya.

Kikosi cha timu ya soka ya Serengeti Boys.

Matokeo mazuri katika ziara ya India ambako walishiriki mashindano ya vijana ya Kimataifa yanayotambuliwa na FIFA (AIFF International Youth Tournament 2016) kwa Serengeti Boys ni rekodi ya mfano si tu kwa Tanzania na kwa nchi za Afrika Mashariki pia.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS