Pluijm aapa kumaliza utawala wa TP Mazembe

Kocha wa Yanga Hans van Der Pluijm, amesema anaamini Ubingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika utabaki Tanzania kwani hawezi kufungwa kwenye mechi zote za ugenini katika michezo yote katika hatua ya makundi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS