Polisi Tabora kuanza uchunguzi kwa wanaojinyonga Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Khamis Issa. Jeshi la Polisi Mkoani Tabora limesema kuwa limeanza uchunguzi wa kina wa ili kubaini chanzo cha matukio ya watu kujinyonga ambapo baadhi yao wengine wanakutwa na majeraha mbalimbali mwilini. Read more about Polisi Tabora kuanza uchunguzi kwa wanaojinyonga