Kitendawili cha madawati nchini kuteguliwa Juni 1

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. George Simbachawene amesema katika utekelezaji wa agizo la Rais Dkt. John Pombe Magufuli ifikapo tarehe 30 mwezi Juni shule zote nchini ziwe na madawati ya kutosha ofisi yake imeanza kukusanya ripoti.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS