Tanzania kunufaika na hewa ya Ukaa

Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), kupitia kituo cha taifa cha ufatiliaji hewa ya ukaa (NCMC), kimesema kuwa mchakato unafanyika ili Tanzania iweze kupata faida ya dola za Marekani milioni 900 kwa mwaka kutokana na biashara ya hewa ya ukaa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS