Kufukuzwa wanafunzi UDOM kwasitisha Bunge
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tulia Ackson, amelazimika kusitisha shughuli za Bunge baada ya wabunge kutoa hoja na kushinikiza kujadiliwa kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu Dodoma 7802 kufukuzwa masomo.