JATA njia panda ushiriki Olimpiki mwaka huu Chama cha Judo nchini JATA kimesema, mpaka sasa hawajajua nafasi yao katika ushiriki wa mashindano ya Olimpiki yanayotarajiwa kuanza kutimua vumbi Septemba mwaka huu Rio nchini Brazili. Read more about JATA njia panda ushiriki Olimpiki mwaka huu