Amissi Tambwe aishauri Yanga Mshambuliaji wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe. Mshambuliaji wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe ameushauri uongozi wa klabu hiyo kuhakikisha unasajili kiungo mkabaji (namba sita), wa nguvu katika kipindi hiki cha usajili ambaye atakuwa msaada mkubwa kwa timu hiyo. Read more about Amissi Tambwe aishauri Yanga