Pep Guardiola ajipanga kuizidi kete FC Barcelona
Ni kama kuonyesha jeuri na umaarufu wake kwa waajili wake wa zamani kocha Pep Guardiola ameingia katika vita na timu ya FC Barcelona katika mbio zakuwania saini ya kiungo wa Celta Vigo na Hispania Nolito aliyekulia katika timu B ya Barcelona