Nico Rosberg atwaa taji la Europian Grand Prix
Utemi wa Nico Rosberg kwa dereva mwenza wa Mercedes, Lewis Hamilton umezidi kuendelea baada ya kumgaragaza tena kwenye mashindano ya Europian Grand Prix, na kuzinyakua pointi 24 kutoka kwa bingwa huyo wa dunia.