Serikali imetenga Dola Mil.3 ya ruzuku ya madini
Waziri wa nishati na madini Prof.Sospeter Muhongo amesema serikali imetenga Dola Milioni 3 zaKimarekani kwa ajili ya lukuzu ya awamu ya tatu kwa wachimbaji wadogo wa madini nchini na pesa hizo zinaanza kupelekwa Mpanda mkoani Katavi.
