TPA Rukwa kutumia video kupunguza matumizi
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amemuagiza Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), kurekebisha mapungufu ya kiutendaji ili kuondokana na matumizi mabaya ya fedha.
