Nedy Music
Baada ya Mubenga kuitosa PKP na kuanzisha lebo yake mpya ya Bangers, Msanii wake wa zamani Nedy Music aeleza hisia zake juu ya Mubenga nakusema hana tatizo lolote na yeye na kwa sasa amebaki chini ya usimamizi wa Ommy Dimpoz katika lebo hiyo ya PKP.
