Wanafunzi 84 wanusurika kifo Nanja Sekondari Hii ni moja ya tukio la juzi la moto katika shule ya sekondari Lowassa iliyopo Monduli. Mabweni mawili katika Shule ya Sekondari Nanja katika wilaya ya Monduli Mkoani Arusha yameteketea kwa moto ambao chanzo chake bado hakijafahamika. Read more about Wanafunzi 84 wanusurika kifo Nanja Sekondari