Juma Nature.

Msanii mkongwe wa bongo fleva, Juma Nature amesema ameamua kuachia ngoma mpya kwasababu mashabiki wake wanakosa baadhi ya vitu kwenye muziki hivyo ameamua kuwapa ladha nzuri na kuwaonesha watu ni jinsi gani muziki mzuri unatungwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS