Wawili mbaroni kwa kusambaza ujumbe mtandaoni Kamanda wa polisi mkoani Mbeya Dhahiri Kidavashari. Jeshi la polisi mkoani Mbeya linawashikilia watu wawili wakikabiliwa na tuhuma za kusambaza Ujumbe wenye kuashiria kuhatarisha amani ya nchi kupitia mtandao wa simu. Read more about Wawili mbaroni kwa kusambaza ujumbe mtandaoni