Job Ndugai na Freeman Mbowe.

Kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, Freeman Mbowe akizungumza na Spika wa Bunge, Job Ndugai alipomtembelea nyumbani kwake jana baada ya Spika kurejea nchini hivi karibuni kutoka nchini India alipokwenda kwa ajili ya uchunguzi wa afya yake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS