Nimekuja kuonyesha watu muziki mzuri - Juma Nature Msanii ambaye ni moja kati ya watu waliofanikiwa kuitoa bongo fleva shimoni na kuifikisha hapa, Juma Kassim nature, ametoa sababu inayomfanya yeye kuendelea kutoa kazi mpya licha ya ukongwe wake. Read more about Nimekuja kuonyesha watu muziki mzuri - Juma Nature