Waziri Mkuu Majaliwa awataka watumishi kuwa tayari
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa, amewataka watumishi wa umma nchini kuwa tayari kwenda kufanya kazi kokote watakalopangiwa na Serikali kulingana na mahitaji ya eneo husika.