Serikali kufanya upya uhakiki wa watumishi wa umma Serikali inatarajia kuendesha zoezi la uhakiki wa Watumishi wa umma kote nchini kwa siku 14 kwa kutumia mfumo wa kielektroniki ili kuondoa watumishi hewa na wenye utambulisho danganyifu. Read more about Serikali kufanya upya uhakiki wa watumishi wa umma