Nikimsikia Country boy kama namsikia Ngwea- Soggy

Soggy Doggy akiwa katika Planet Bongo iliyokuwa ikiruka mubashara kutoka Mabibo, Jijini Dar es Salaam

Rapa mkongwe Tanzania Soggy Doggy amefunguka na kusema kuwa vijana kwenye muziki wa hip hop saizi wanafanya vizuri na ili uende nao sawa lazima upite njia wanazopita hao ndiyo maana hata yeye ameshindwa kuachia kazi mpya mpaka akamilishe video kabisa

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS