Serikali yawataka wafugaji kufuga kisasa

Mifugo (ng;ombe) wanaofugwa kienyeji

Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, William Ole Nasha amesema ili Tanzania iweze kunufaika na mifugo iliyonayo ni lazima wadau wote wa sekta hiyo wabadilike na kufuga kisasa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS