Kawhi Leonard, kushoto, akijaribu kuumiliki mpira wakati left, Stephen Curry naye akijaribu kumkaba
Kawhi Leonard, amefunga pointi 35, wakati akiisaidia San Antonio Spurs, kuifunga Golden State Warrors, kwa vikapu 129-100, usiku wa kuamkia leo, katika dimba la Oracle Arena, Oakland.