Wapewa saa 24 kuachia shamba la muwekezaji Hanang

Mkuu wa wilaya ya Hanang, Sara Msafiri

Mkuu wa wilaya ya Hanang Sarah Msafiri ametoa saa 24 kwa wavamizi wa shamba la muwekezaji la gidagamouwd katika kijiji cha ming’anyi kuhakikisha wameondoka katika eneo hilo bila kuhatarisha amani kwa wakazi wa kijiji hicho.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS