Ray C bado ana 'chumba' chake - Lord Eyes

Lord Eyez

Rapa Lord Eyes ambaye ni mmoja wa wasanii wa kundi la Weusi amefunguka na kusema msanii Ray C bado ana chumba chake kwenye muziki na kusema yeye bado anamuombea kwani kwa matatizo aliyonayo kwani yale ni kama maradhi hivyo hayaponi kwa siku moja.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS