Rappers wa Bongo wapewa somo ili kuwika kimataifa
Mdau wa muziki nchini Fredrick Bundala au Sky Walker, ametoa maoni yake na kuwashauri wasanii wa hip hop wa hapa bongo, kitu wanachotakiwa kufanya ili waweze kuji'brand' na kujulikana kimataifa, kama ilivyo kwa wasanii wa kuimba.