Usafirishaji wa binadamu wawekewa mikakati

Wajumbe wa kamati ya kupambana na biashara haramu ya usafirishaji binadamu nchini.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Balozi Simba Yahya amewataka wajumbe wa Kamati ya Kupambana na Biashara Haramu ya Usafirishaji Binadamu kuweka mikakati imara ya kupambana na wahalifu wa biashara hiyo nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS