Benki nane za kimataifa kuwekeza nchini Kenya

Gavana wa Benki Kuu ya Kenya, Partick Njoroge.

Benki Kuu ya Kenya (CBK) imebainisha kuwa mabenki nane kutoka nchi za kigeni zinajiandaa kuingia katika soko la Kenya licha ya kuwekwa kiwango cha ukomo wa riba na mamlaka hiyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS