Wanahabari watakiwa kutoa maoni sheria ya habari
Wadau wa habari na waandishi wa habari kote nchini wametakiwa kutumia muda wa wiki tatu zilizobaki kikamilifu katika kuwasilisha maoni yao juu ya muswada wa sheria ya habari uliosomwa Bungeni kwa mara ya kwanza.