Utafiti wabaini anguko la viwanda vya dawa nchini Dkt. Richard Katera Utafiti uliofanywa na taasisi inayojishughulisha na utafiti wa jinsi ya kupunguza umaskini ya REPOA umebaini kushuka kwa idadi ya viwanda vya utengenezaji dawa za binadamu nchini. Read more about Utafiti wabaini anguko la viwanda vya dawa nchini