'Mtoko' wa Salama EATV AWARDS, wasubiriwa kwa hamu

Shangwe za EATV AWARDS zimezidi kuwa kubwa na kufanya jiji zima la Dar es Salaam kuwa na habari moja tu ya tarehe 10 Desemba 2016 pale Mlimani City, ambapo historia itaandikwa katika tasnia ya sanaa Afrika Mashariki.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS