Simba na Yanga kurudiana Februari 18, 2017

Mechi ya Yanga na Simba mzunguko wa kwanza

Shirikisho la Soka nchini (TFF) limetangaza ratiba ya ligi kuu Tanzania Bara mzunguko wa pili unaotarajia kuanza kutimua vumbi Desemba 17 mwaka huu na kuhitimishwa Mei 06, mwaka 2017 ambapo Simba na Yanga wamepangwa kukutana Februari 18, 2017.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS