Maurice Kirya jukwaa moja na Barnaba Tuzo za EATV

Mourice Kirya

Msanii wa muziki kutoka nchini Uganda Maurice Kirya anatarajiwa kupanda jukwaa la EATV AWARDS 2016 kwa mara ya kwanza na kuandika historia ya kuwa msanii wa kwanza kutoka Uganda kuperfom kwenye tukio kubwa katika tasnia ya muziki Afrika Mashariki

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS