Wanafunzi waelimishwe kutumia mkopo: Mhadhiri UDSM
Mhadhiri wa chuo kikuu cha Dar es salaam Mwl. Faraja Kristomus amezitaka taasisi husika kutoa elimu maalum kwa wanafunzi wa elimu ya juu, kuwapa uelewa wa namna ya kutumia pesa za mkopo wanazopewa na serikali, ili ziweze kukidhi mahitaji yao.