Twiga Stars yaanza maandalizi kuikabili Cameroon
Timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) imealikwa kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Cameroon kama maandalizi ya kuanza kwa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa wanawake 2016 Novemba 19, mwaka huu.