Yanga katika mtihani mwingine Mbeya kwa wajelajela Kikosi cha Yanga Ligi Kuu ya Tanzania Bara (VPL), mzunguko wa 15 unaomaliza duru la kwanza kwa msimu huu, inatarajiwa kuendelea kesho na kesho kutwa kwa timu 12 kuchuana kwenye viwanja sita. Read more about Yanga katika mtihani mwingine Mbeya kwa wajelajela