Nikipata ujauzito nitatembea tumbo mbele - Natasha Natasha Lisima (zamani Kadjanito) Msanii wa Bongo fleva, mwanadada Kadjanito aliyewahi kutamba na ngoma yake ya Maumivu, amefunguka na kusema kuwa tangu aoelewe, kitu anachotamani zaidi kupata ni ujauzito. Read more about Nikipata ujauzito nitatembea tumbo mbele - Natasha