Watoto albino huuawa wakiwa wachanga - UNESCO

Watoto wenye ualbino

Ripoti iliyotolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa linalojishughulisha na Elimu, Sayansi na Utamaduni la (UNESCO) imebainisha mambo mapya kuhusiana na ukatili dhidi ya watu wenye ualbino.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS