Ligi ya wanawake yasimama kuipisha Twiga Stars
Shirikisho la Soka nchini TFF limesimamisha ligi ya Wanawake iliyotarajiwa kuendelea tena hapo kesho ili kupisha mchezo wa kirafiki wa timu ya taifa ya wanawake Twiga Stars itakayopambana na Cameroon katika mchezo utakaopigwa Novemba 10, Cameroon