Kikosi cha Mtibwa Sugar kufanyiwa marekebisho
Timu ya Mtibwa Sugar ya Morogoro, leo imejifariji kwa ushindi wa bao 1-0 mbele ya Mbeya City ikiwa nyumbani, na kuvuna point 3 muhimu katika mwendelezo wa ligi kuu ya soka Tanzania Bara, huku kocha wake akitangaza kukifanyia marekebisho kikosi chake