Uingereza yakataa kulegeza masharti ya visa Theresa may (Kushoto) akiwa na Narendra Modi Waziri Mkuu wa Uingereza, Theresa May, amekataa maombi ya India ya kutaka masharti ya visa ya kuingia Uingereza yalegezwe. Read more about Uingereza yakataa kulegeza masharti ya visa